Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.
 

HONGERA SE- KILASI MKUU WA WILAYA YA WANGING'OMBE

Expand Messages
 • Zephania mposo
  Hongera Wanging ombe kwa kumpata Esterina Kilasi kuwa Mkuu wa Wilaya. Kazi kubwa kwetu ni kumpa ushirikiano wa hali ya juu kwa pamoja kwa manufaa ya Wilaya na
  Message 1 of 1 , May 9, 2012
   Hongera Wanging'ombe kwa kumpata Esterina Kilasi kuwa Mkuu wa Wilaya.
   Kazi kubwa kwetu ni kumpa ushirikiano wa hali ya juu kwa pamoja kwa manufaa ya Wilaya na Mkoa Mzima wa Njombe bila kujali itikadi za kisiasa. Huyu Se-Kilasi ni mwenzetu bila shaka anayajua matatizo ya Njombe.
   HONGERA Mheshimiwa Se-Kilasi, KARIBU KWENU NJOMBE, KARIBU Igwachanya, Wanging'ombe!!!
    
   Mposo ZLM
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.