Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.
 

Minciu Sodas in Kiswahili: Haki Elimu Rafiki

Expand Messages
 • Andrius Kulikauskas
  Josephat Ndibalema, Thank you for agreeing to lead our Minciu Sodas laboratory s new working group in the Kiswahili language based on your deepest value of
  Message 1 of 1 , Jul 28, 2007
   Josephat Ndibalema, Thank you for agreeing to lead our Minciu Sodas
   laboratory's new working group in the Kiswahili language based on your
   deepest value of "seeing many people getting education as their basic
   right".
   http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/
   http://www.worknets.org/wiki.cgi?HakiElimuRafiki
   Along with William Wambura, I invite all of our Kiswahili speakers to
   join your discussion group Haki Elimu Rafiki by sending a blank message
   to hakielimurafiki-subscribe@yahoogroups.com

   I share your writings from your wiki page:
   I was born 31 years past,Tanzania is my country of birth educated in
   a catholic school "Kaengesa Seminary Secondary School" from 1991 to 1995
   joined high school in 1996 to 1998.In the year 2003 i joined The
   University of Dar es salaam for a nine month certificate course in law
   completed in june 2004.Presentry i'm working as a public servant in the
   Government of the United Republic of Tanzania in the ministry of Public
   Safety and Security and first year student at The Open University of
   Tanzania taking Bachelor in Law.I'm a married man with a single child
   aged 4yrs.I'm also among founder member of Uyoga Development Group a
   non-profit making organisation operating in Dar es salaam Tanzania.My
   field of interest include Social work,book reading,writing,attending
   seminars,volunteering and uplifting of youth and women.
   My Own Point of View: We may be highly educated,but if we are
   without deep integration of thought and feeling,our lives are
   incomplete,and as long as education does not cultivate an integrated
   outlook on life,it has very little significance. To remain
   economically competitive and prosper in this global knowledge-driven
   economy,countries cannot afford to have large sectors of their
   population excluded from education,or at the lower level of the
   education process. Education is positively related to development.
   http://www.worknets.org/wiki.cgi?JosephatNdibalema

   And also I share below the long chat which I found today in Kiswahili at
   our chat archive http://www.worknets.org/archive/ We have a chat room
   for Kiswahili which you can enter: http://www.worknets.org/chat/ and we
   can start them in other languages if there is interest.

   I note also your interest in encouraging education in the Kiswahili
   language.

   This is an exciting moment for our Minciu Sodas laboratory as we break
   this language barrier!

   Andrius

   Andrius Kulikauskas
   Minciu Sodas
   http://www.ms.lt
   ms@...
   Vilnius, Lithuania


   ------------------------------------------------------------------------------------------------

   Prims_Lugemwa: /room Kiswahili :: /room Kiswahili :: Abinel upo
   wapi,ingia tuanze mjadala :: yes mambo vipi

   Abinel: safi :: niambie

   Prims_Lugemwa: tuutumie muda ipasavyo :: tujadiliane kuhusiana na nini?
   :: Mazingtira au wanafunzi

   Abinel: Tunzungumzie mfumo mzima wa

   Prims_Lugemwa: wa nini?

   Abinel: wanaafunzi

   Prims_Lugemwa: tuanze :: kuhuasiana na nini? :: matatizo au nini?

   Abinel: KWAKUA UMEPENDEKEZA

   Prims_Lugemwa: KWELI WANAFUNZI WANAKUMBANA NA MATASTIZO MENGI SANA

   Abinel: Umenigusa kwani sote ni miongoni mwao

   Prims_Lugemwa: kama vil;e mandhari sahihi ya kusomea

   Abinel: haswaaa

   Prims_Lugemwa: ufundishwaji mbovu

   Abinel: Pamoja na mitaala

   Prims_Lugemwa: waalimu walio chini ya kiwango :: yes na mtaala mzima ni
   mbovu

   Abinel: Sema wanafunzi wengi wanajitahidi

   Prims_Lugemwa: kwa nini nasema hivyo

   Abinel: Kwani ni wengi ambao wanajiweza :: Tatizo kwenye kuwezeshwa

   Prims_Lugemwa: mitaala iliyoko haiwezi kumfanya kijana kupambana na
   mazingira halisi ya :: anamooishi

   Abinel: Kwa nini

   Prims_Lugemwa: e limu bora iendane na mazingiras bora :: kuwezeshwa ndio
   hukop :: wengi tunaishia kukariri badala ya kuelewa

   Abinel: Uchumi wetu bado

   Prims_Lugemwa: mwishowe hatuwezi kushindindana na soko la kimataifa

   Abinel: Sema kizazi hiki

   Prims_Lugemwa: uchumi utakua tukiwekeza ktk Elimu

   Abinel: Ndio chanzo cha mafanikio

   Prims_Lugemwa: network inazingua

   Abinel: Ndio mafanikio katika maswala yote :: Na :: Na :: Na

   Prims_Lugemwa: neti ilikua inazingua

   Abinel: Matatizo yetu yanaanza :: Ila sasa shwari. :: Tuendelee

   Prims_Lugemwa: unanipata :: sas fresh

   Abinel: Ile mbaya,,

   Prims_Lugemwa: poa

   Abinel: Sema mh.Jakaya na watu wake.. :: Wanweza kutusaidia sana.

   Prims_Lugemwa: matatizo kuisha iwapo kila mmoja wetu na taifa kwa ujumla
   wakipay part zao

   Abinel: Kila mmoja anatakiwa kuwajibika. :: Pamoja na kuwajibika. :: Na

   Prims_Lugemwa: abinel unanipata

   Abinel: Pamoja na kuwajika.

   Prims_Lugemwa: network mbovu :: uwajibikaji ni kwa kial mmoja wetu ::
   kuimarisha taifa lililo bora

   Abinel: Uajua nini :: Unajua nini,

   Prims_Lugemwa: mzazi anayewekeza kwenye elimu anampz msingi bora mtoto
   wake :: nini

   Abinel: Usimtafute mchawi wako peke yako

   Prims_Lugemwa: kwa nini

   Abinel: Kwa sababu wacawi wanawaaribia wengi

   Prims_Lugemwa: tatizo hasa ni mitaala yetu iliyopitwa na wakati ::
   kumbuka hiki ni kizazi kipya

   Abinel: Kwaiyo twende na wakati,

   Prims_Lugemwa: kinahitaji wakati nakuutumia ipasavyo

   Abinel: Chamsingi kutafakari uko wakati gani.

   Prims_Lugemwa: yaaani kuna wengi wabunifu :: saayansi na teknolojiia ::
   kwa si kutumia mtaala wakikoloni kwa kizazi kipya

   Abinel: Haswaaa.

   Prims_Lugemwa: hiyo imeshapitwa na wakati

   Abinel: Kumbuka Wakoloni walitoa Elimu bure, :: TEna ile ilyo bora zaidi

   Prims_Lugemwa: yenye lengo la kumfumba macho mafrika

   Abinel: Ambayo hivi sasa wanaipa wale matajiri

   Prims_Lugemwa: na kuwa mtumwa kwao kisaikolojia

   Abinel: Na hata sera za mpango wa maendeleo ya Elimu bado haija boresha
   mitaala, :: Vipi kuhusuutumwa mambo leo :: na :: Vipi kuhusu utumwa
   mambo leo :: Nieleze zipi faida,

   Prims_Lugemwa: neti inazingua :: neti inazinguaaaaaaaaaaa :: tuendele

   Abinel: Inabidi tukomae nao :: Kwanni tatizo situnalijua

   Prims_Lugemwa: wakati wakutoa tngotongo usoni umefika :: kama kuamka
   zamabni tumeamka

   Abinel: Haswaaaaa

   Prims_Lugemwa: wakati wa kutoa tongotongo :: ndio huu

   Abinel: Tena kizazi chetu kinauwezo wa kuweka rekodi nzuri sana Afrika
   :: Ukizingatia science n techn

   Prims_Lugemwa: hatuwezi kuukwepa wakati,utandawazi hata kama una athari
   na pia faida unazo

   Abinel: Baba wa taifa alisema

   Prims_Lugemwa: je ni jisi gani tutafanikiwa :: alisemaje

   Abinel: Kukabiliaana na hali,sisi vijana tutafanikiwa :: Na si wala
   kutegemea kila kitu.

   Prims_Lugemwa: hasa ku[pitia eliimu au siyo

   Abinel: Kwani yeye walimuwezesha

   Prims_Lugemwa: elimu iwe bure Tanzania tuu :: si bure

   Abinel: Pia akajalibu kuwawezesha wengine :: Ni ngumu sana

   Prims_Lugemwa: tunaletewa teknoljia mbovu :: nasi tunakubali

   Abinel: Bado wanaoweza kibao :: Tunakubali sisi masikini

   Prims_Lugemwa: kivi[pi

   Abinel: Ambao ndio asilmia kubwa Tanzania :: Wewe uoni Wllium shule
   ambayo alisoma, :: Jina lenyewe FEZA HICH SCHOOL.

   Prims_Lugemwa: nakubali tatizo ni system si shwari

   Abinel: jaribu kuja kutazama kwa undai zaidi

   Prims_Lugemwa: kwanza kutumia lugha ya kiswahili tokwa Primary as a
   media of instruction :: upi

   Abinel: Ni watanzania wangapi ambao tupo na hatupati Elimu bora ::
   ehee,na lugha gani ambayo itatuunganisha na wageni wetu kutoka mbele mble

   Prims_Lugemwa: only international language

   Abinel: Mbona Uganga hawaugui kimpango huu

   Prims_Lugemwa: English

   Abinel: Na bado lugha za asili zipo,

   Prims_Lugemwa: kwa sababu wanaitumia toka chini :: ufundishwaji pia ::
   mwalimu mwenyewe anaogopa kuongea :: mwanafuzi atajua lini

   Abinel: Tungekuwa tunafundishwa kama Kenya au Uganda ingekuwa safi.

   Prims_Lugemwa: kwa lugha tukibadilika Tanzania tutakua mbali Afrika
   mashariki :: kukua vibaya kiuchumi :: vichwa kibao vipo

   Abinel: Tungefaahamu ni jinsi gani ya kupambana na mazingira yetu ::
   vichwa mpaka vinagaili

   Prims_Lugemwa: watu wabunifu ila ni how they can be recognised by the world?

   Abinel: Cheki maprof kibao

   Prims_Lugemwa: kibao :: na wanakesha kila siku

   Abinel: Inamaana awana uwezo wa kufanya tuchange, :: sio wanakula mapesa
   tu :: wakati watanzania tuko hoi bin taaban :: sisi ndio kizazi cha
   kesho :: tuwaambie wenzetu tuanze na UYOGA

   Prims_Lugemwa: uyoga ni kati ya organization zenye hasira TAnzania

   Abinel: Kwani tomorrow is yet coming

   Prims_Lugemwa: kwa pamoja lengo litatimia :: au unasemaje

   Abinel: Ndio :: Tunaweza kuanzisha wazo :: je una..\

   Prims_Lugemwa: lakini mabadiliko yanaanza kwetu sisi wenyewe :: lipi?\
   :: wazo nisisi kwana to be commited

   Abinel: Unaambiwa uwezi kutoa mchanga jichoni kwa mwenzako wakati wewe ...

   Prims_Lugemwa: we are real comitted? :: ndiyo :: kuwa wagunduzi ::
   wabunifu :: na ujuzi ndani yake

   Abinel: Mi nazani mawasiliano baina yetu ni muhimu :: Wapo watu wana
   profesional zao :: Na wapo kimya kama wanataga.

   Prims_Lugemwa: kuhudhuria learning centre muhimu :: kuna information za
   ajabu

   Abinel: Nazungumzia Uyoga ndani yetu :: mimi na wewe wengine je ::
   inabidi wajue kuwa kuna huduma karibu na bure

   Prims_Lugemwa: vipi time bado ipo kwanza :: kujifunza hasa ni muhim ::
   ila inabidi tuwe au niwe sacrifised :: il kuinroll wengi :: na
   tusionekane tunajalibu

   Abinel: Unaambiwa ni vyema kujifunza mengi na sio kujua kila kitu

   Prims_Lugemwa: boras kufanya kweli :: sio wakati wa kujaribu

   Abinel: Sasac mwenzio nishaanza kozi ya Computer. :: Lengo ni kutaka
   kujua na kutambua undani wake zaidi

   Prims_Lugemwa: ni moja kati ya stp ya maendeleo :: kee[p it up

   Abinel: kwani wengi sana Dunia hii wametoka. :: Cha muhimu mawasiliano
   :: kuchangia mawazo hata ktk shughuli za kimaendeleo :: wapo ambao wapo
   bush wanalima

   Prims_Lugemwa: volunteering inahitajika

   Abinel: tena ndio ambao tunawategemea ktk sekta ya msosi

   Prims_Lugemwa: na hao ndio matajiri :: ajabu Tanzania ndio masskini

   remmy: mambo vipi abinel na lugemwa

   Abinel: Sisafi lemmy vipi

   remmy: namshukuru mungu mi mzima

   Abinel: Mi nazani Uyoga tuwe wakulima

   Prims_Lugemwa: hi remmy

   remmy: kwa sasa mnaendelea na mada gani

   Prims_Lugemwa: unajua unapomzungumzia mkulima mfugaji usimsahau ::
   tulizungumzia suala lawanafuni

   Abinel: Kwani lg uwezi kufuga au kulima

   Prims_Lugemwa: tukaja miataala yake ya ajabu Tanzania

   Abinel: Si umeshapa elimu ya sayansi kilimo msingini,

   Prims_Lugemwa: na sasa ttunajizungumzia sisi jinsi gani tutaqwakilisha
   tunacho kihitaji? :: naweza

   remmy: abinel mimi napenda pia kulima

   Prims_Lugemwa: lakini si kufuga na kulima kwa hali hii :: tutaendelea
   kuwa maskini daima

   Abinel: Si wewe tu wabongo wote wakulima lemmy

   Prims_Lugemwa: si elimu ya msingi ikatosheleza

   Abinel: We baba yako anamiliki mashamba najuua kuwa ni tajiri sana

   Prims_Lugemwa: kumbuka kuna watru wanasomea mpaka vyuo :: nani

   Abinel: kujitolea mihimu :: wapo wanaomiliki mapori makubwa tu

   remmy: abi mimi nakataa wabongo sio wote wakulima

   Prims_Lugemwa: teknolojia mpya more useful na sio kuletewa miteknelojia
   yenye athari nasi tunafurahuia :: kwa nini Remmy? :: ni jinsi gani
   inavyitumika'

   Abinel: Si tulidai uhuru :: sasa nani akutoe

   Prims_Lugemwa: kumbuka rasirimali ni myuhimi kuleta manufaa kwa wotye ::
   sio tatizo kuwa huru kistaili hii

   Abinel: Lasilimali zipo na wachache ndio wanafaidika nazo

   Prims_Lugemwa: lakini je sibado tunatawaliwa na wachaache

   remmy: lugemwa unajua kwamba wabongo wengi hawapendi kulima

   Abinel: Tatizo Elimu

   Prims_Lugemwa: No

   Abinel: Sababu

   Prims_Lugemwa: Ardhi haiko shwari :: unajua vijijini maji tatizo :: hapa
   na mwenge

   Abinel: Remmy mkulima atalima kama kuna vifaanya ukweli

   Prims_Lugemwa: na mazao yanahitaji kumwagiliwa

   Abinel: Wangapi wanamiliki mamilioni wanashindwa kuendesha shughuli hizo

   Prims_Lugemwa: eneo ni kubwa lakini ni mwake kumwagilia na kulima na mkono

   remmy: asilimia nyingi niwatu wa mjini ambao hawajalelewa katika
   mazingira ya ukulima

   Prims_Lugemwa: dawa za kuulia waduudu aghali

   Abinel: Mazao matamu au sio

   Prims_Lugemwa: baada ya kuvuna hufaidiki na u7lichokilima miezi sita

   Abinel: na kama tunategemea kilimo tutakosa dawa

   Prims_Lugemwa: kivi[pi

   Abinel: Remmy unajua kwamba mjini kuna watanzania wachache sana

   Prims_Lugemwa: sekta ya kilimo ndio mama wa sekta zote :: hasa viwanda

   remmy: kwa nini

   Prims_Lugemwa: nakadhalika

   Abinel: Na ndio maana Ulaya watu wanashidwakumiliki ardhi :: Wakulima
   mbele ni matajiri kufuru,

   Prims_Lugemwa: kwa sababu malighafi zinazohitajila viwandani lazima
   zitoke shambani

   remmy: abi kunawatanzania wachache kivipi

   Prims_Lugemwa: ndio

   Abinel: Sasa mbona Tanzania mapori mengi :: Jiulize tunamikoa mingapi

   Prims_Lugemwa: kibao

   Abinel: Na ni aslimia ngapi tunaishi mijini na vijijini

   remmy: sasa mapori siyamaliasili

   Abinel: Ni wachache sana tuliofanikiwa kupata vitu vitamu yaani elimu

   Prims_Lugemwa: lakini wanafaidika wachache :: hasa tulioko mijini

   remmy: kivipi

   Prims_Lugemwa: wa kijijini hawatambui

   Abinel: Kuna watu ambao hata kiumri awajitambui

   Prims_Lugemwa: kwani wengi wao mazingira yanawabana na kutotambua umuhim
   wa elim

   Abinel: kusoma tabu kuandika usiwaulize

   Prims_Lugemwa: na ni vitu vinavyotambulisha taifa maskini

   Abinel: Hata kusoma na kuandika

   remmy: unajua luge elimu siompaka usomesana hatmitaani unaweza kupata elimu

   Prims_Lugemwa: vizazi na vifo vinavyotokea :: hasa vinazidi kushusha
   uchumi wa Taifa :: ndoyo :: kwani unataka kuniambia Remmy we ujasoma?

   Abinel: Hata weweluge umefikia wapi katika elimu_

   Prims_Lugemwa: elim thabiti ni ile itakayokuwezesha kupambana na
   mazingira yako halisi :: HIGH LEVEL :: lakini am i specific na mazingira
   yangu ,saaasa ujue nimemezeshwa

   remmy: nazani mnafahamu kwamba elimu ya mitaani sio elimurasmi

   Abinel: Unaweza kunishauri kwa kiwango kikubwa sana :: zaidi ktk maswala
   ya elimu

   Prims_Lugemwa: elimu ya sasa ni mpambano kati ya fedha na elimu ya
   kikoloni kuhimiri teknolojia

   Abinel: sasa kama unaweza unangoja nini kuwezeshwa

   Prims_Lugemwa: jinsi gani yakuhimili mikiki ya ulimwengu wa utandawazi
   ndio suala na ugumu unapoanzia

   Abinel: Luge unapozungumzia utandawazi

   remmy: lakini mimi nadhani elimu ya fedha ndio inayo weza kumsaidia
   mwanadamu

   Abinel: ndio huu ambao ayhari zake :: tumslwalie mtume

   Prims_Lugemwa: elimu ya fedha Remmy ndoi ipi?

   Abinel: sasa umeshaathiri wangapi hadi hivi sasa

   Prims_Lugemwa: kumbuka fedha ilianzishwa na wazo :: kwa ujumla hatuwezi
   kuepuka kwa kukimbia bali kuuufuata nakujua njia mbadala za kutatua ::
   athari kwa kitu kipya haiwezi kukosekana

   remmy: kamakipi

   Prims_Lugemwa: mfano kufukuzwa kwa wamachinga barabarani ni athari kwao
   lakini libidi iwe hivyo il kuondoa mzigo wa baadaye :: ni kama kutoa
   sadaka yenye uono wa mbali :: tumetekwa kifikra lakini tusikubali
   kutekwa mawazo

   remmy: kwanini wafanye hivyo wakati kwa sasa vijana wanaishi katika
   mazingira magumu

   Prims_Lugemwa: vipi mbona kimya :: sababu mawazo yakuja kila kukicha ::
   kwa sasa ni mtu mmojammoja kujiangalia yeye mwenyewe :: sabvabu
   7usitegemee fuylani atafanya hibvi :: Nyerere alisema IT CAN BE DONE
   PLAY YOUR PART

   remmy: unajua kwahalihiyo inafanya vijana waingie katika wizi na uporaji

   Prims_Lugemwa: Abi vipi :: INAWEZEKANA TIMIZA WAJIBU WAKO :: kama
   unataka kuchoma moto we iba :: zako 40 :: kwa nini usitumie njia mbadala
   :: una mikono miguu miwili jitume fanya kazi

   remmy: kama ipi labda

   Prims_Lugemwa: lazima utakua naTALENT yoyote ile hiyohiyo ndiyo itakayokutoa

   remmy: unajua kunakazi unaweza kufanya alafuusfaidike nachochote zaidi y
   kula

   Prims_Lugemwa: time yangu imeisha Remmy :: na sign out :: kwaheri

   remmy: najua kazizipo nyingi zakufanya ilaukitaka kazi yamaana ndio
   inabidiuwe namchongo :: abi vipi

   Abinel: sasa inaonekana ni jinsi gani watanzania tunaasila :: oo ::
   Remmy upo :: lg vipi tumeishia wapi kta wanafunzi :: Umejiunga na
   hakiElimuRAFIKI :: SamahaniHakiElimuRafiki
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.