Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.
 
Re: ''Vipi kuhusu wasichana wanaopata ujauzito shuleni''

Expand Messages
 • abinelimmanuel
  ... sana ... ujauzito ... nichangie ... tatizo ... kuruhusiwa ... haki ... mkataba wa ... msingi la ... kila ... sasa ... haki,kwa ... pia ... sifa ...
  Message 1 of 5 , Jan 2, 2008
   --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "Josephat"
   <ndibajosephat@...> wrote:
   >
   > Wapendwa marafiki wa elimu, Napenda kusema kuwa nimefurahishwa
   sana
   > michango yetu kwenye mada hii inayohusu wasichana wanaopata
   ujauzito
   > wakiwa mashuleni.Baada ya kutoa shukurani zangu naomba nami
   nichangie
   > japo kwa ufupi.Kweli hili ni tatizo kama alivyoelezea rafiki yetu
   > Theresia,kuna idadi kubwa ya wasichana walioathirika kutokana na
   tatizo
   > hili kwa kweli sina takwimu sahihi juu ya walioathirika,na katika
   > utafiti wangu katika swala la elimu najaribu kutafuta takwimu
   > zitakazotuwezesha kujua ukubwa wa tatizo na kupendekeza mbinu za
   > kulitatua tatizo hili kabla halijaleta madhara makubwa. Pia
   > nakubaliana na wanaosema ni vyema msichana aliyepata ujauzito
   kuruhusiwa
   > kuendelea na masomo,kwana kumzuia msichana kama huyo ni kumnyima
   haki
   > yake ya msingi ya kupata elimu.Na hapa ieleweke wazi kwamba
   mkataba wa
   > kimataifa wa haki za binadamu umetamka kuwa elimu ni hitaji la
   msingi la
   > kila binadamu,kwa hiyo imetamkwa kuwa elimu ni haki ya msingi kwa
   kila
   > binadamu na inasisitizwa ya kuwa haki hii ya kupata elimu isiwekewe
   > vikwazo ambavyo vitawazuia baadhi kuikosa elimu.Kinachoendelea kwa
   sasa
   > katka nchi yetu hii ya Tanzania ni kwamba elimu hatolewi kwa
   haki,kwa
   > sababu kwa upande mmoja elimu hiyo inatolewa kibiashara zaidi.
   > Watu masikini ndio wanoikosa elimu,si kwa sababu hawahiihitaji bali
   > hawawezi kumudu gharama,tuungane sasa kudai haki hii tunayoikosa
   pia
   > nawashukuruni tena kwa kuonyesha uhai na kufanya kundi letu lipate
   sifa
   > Minciu Sodas,endeleeni mungu awabariki. Thanks Josephat
   > Ndibalema-Uyoga member
   >
   > HakiElimuRafiki@yahoogroups.com wrote: The
   HakiElimuRafiki
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki;_ylc=X3oDMTJldnE1NzdwB
   F9T\
   >
   Azk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMDaGRyB
   HNs\
   > awNocGgEc3RpbWUDMTE5Nzg4MjQ5Mw--> Messages In This Digest (3
   Messages)
   > 1a. Re: ''Vipi kuhusu wasichana wanaopata ujauzito shuleni''
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#1a> From:
   > leonardpaul52 1b. Re: ''Vipi kuhusu wasichana wanaopata ujauzito
   > shuleni''
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#1b> From:
   Prosper
   > Jingu 2a. Re: VIJANA
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#2a> From:
   > leonardpaul52 View All Topics
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/messages;_ylc=X3oDMTJn
   Z2t\
   >
   sZnRpBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRz
   ZWM\
   > DZG1zZwRzbGsDYXRwYwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz?xm=1&m=p&tidx=1> |
   Create New
   > Topic
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/post;_ylc=X3oDMTJnbzJy
   dmp\
   >
   tBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMD
   ZG1\
   > zZwRzbGsDbnRwYwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> Messages 1a.
   Re: ''Vipi
   > kuhusu wasichana wanaopata ujauzito shuleni''
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/35;_ylc=X3oDMT
   JwM\
   >
   mQzMnBhBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   > 2dJZAMzNQRzZWMDZG1zZwRzbGsDdm1zZwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> Posted
   by:
   > "leonardpaul52" leonardpaul52@...
   > <mailto:leonardpaul52@...?Subject=
   > Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wasichana%20wanaopata%20ujauzito%
   20shuleni\
   > %27%27> leonardpaul52
   <http://profiles.yahoo.com/leonardpaul52> Sun
   > Dec 16, 2007 12:48 am (PST) --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com
   > <mailto:HakiElimuRafiki%40yahoogroups.com> , "theresiamgoroba"
   > <theresiamgoroba@> wrote:
   > >
   > > >Habari marafiki,nadhani kichwa cha habari kinajieleza wazi hapo
   > juu,
   > > >Maada kuu kuhusiana na wasichana wanaopata mimba wakiwa bado
   wapo
   > > shuleni,Ni kweli kwamba mabinti wengi wamejikuta wakiingia katika
   > > vishawishi hadi kupelekea kukumbwa na tatizo kama hili,
   > > >Asilimia kubwa ya wasichana wamepoteza muelekeo wa maisha yao
   > > kutokana na kushawishiwa.
   > > >Kwa mujibu wa kauli zitolewazo na serikali kutokana na tatizo
   hili
   > ni
   > > kwamba,endapo mtoto wa kike atakapokabiliwa na hili tatizo basi
   > hana
   > > budi kuendelea na masomo mara baada y kujifungua na mtoto kupata
   > > matunzo ambayo yatamuwezesha mzazi huyo kurudi na kuendelea na
   > masomo
   > > yake.
   > > >Kwa kuwa wote tunalifahamu fika tatizo hili,Je ni kweli
   wasichana
   > > hawa wanarudi mashuleni?
   > > >Na kama wanarudi ni kweli wanapata fursa kama ilivyo kwa
   wanafunzi
   > > wengine?
   > > >Na je ni asilimia ngapi?
   > > >Ni mimi rafiki yenu..
   > > >Theresia.
   > >
   > Ni ukweli usiopingika kwamba wasichana wengi anaopata ujauzito
   > wakiwa shuleni hawapati fursa ya kuendelea na masomo,japokuwa
   > serikali imekubaliana na mabinti hao waweze kurudi shule.Ni tatizo
   > linalozidi kukithiri hususani vijijini na hata mijini pia ambapo
   > tunaamini watu wengi hususani wazazi wanatambua suala hilo.Raisi
   > Jakaya kikwete amesisitiza serikali wote kwa pamoja na raia
   > kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi sambamba na kuwafichia
   > wazazi wanaowaozesha watoto wao wakiwa bado mashuleni.Hii
   inaonyesha
   > jinsi gani serikali inavyokelwa na tatizo hili lakini swali
   linabaki
   > hivi ni kweli wasichana wote wanarudi mashuleni au ndiyo teyari
   mama
   > wa familia?.
   >
   > Back to top
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#toc> Reply to
   sender
   > <mailto:leonardpaul52@...?Subject=Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wa\
   > sichana%20wanaopata%20ujauzito%20shuleni%27%27> | Reply to group
   > <mailto:HakiElimuRafiki@yahoogroups.com?Subject=
   > Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wasichana%20wanaopata%20ujauzito%
   20shuleni\
   > %27%27> | Reply via web post
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/post;_ylc=X3oDMTJwbWdp
   MGk\
   >
   3BF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRtc2dJ
   ZAM\
   > zNQRzZWMDZG1zZwRzbGsDcnBseQRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz?
   act=reply&messageNum=3\
   > 5>
   > Messages in this topic
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/34;_ylc=X3oDMT
   Myb\
   >
   jgzZTRkBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   >
   2dJZAMzNQRzZWMDZG1zZwRzbGsDdnRwYwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkzBHRwY0lkAzM0>
   (3)
   > 1b. Re: ''Vipi kuhusu wasichana wanaopata ujauzito shuleni''
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/37;_ylc=X3oDMT
   Jwd\
   >
   nMzbm9iBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   > 2dJZAMzNwRzZWMDZG1zZwRzbGsDdm1zZwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> Posted
   by:
   > "Prosper Jingu" pjingu@... <mailto:pjingu@...?Subject=
   > Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wasichana%20wanaopata%20ujauzito%
   20shuleni\
   > %27%27> pjingu <http://profiles.yahoo.com/pjingu> Sun Dec 16,
   2007
   > 4:18 am (PST)
   >
   > leonardpaul52 <leonardpaul52@...
   > <mailto:leonardpaul52%40yahoo.com> > wrote: --- In
   > HakiElimuRafiki@yahoogroups.com
   > <mailto:HakiElimuRafiki%40yahoogroups.com> , "theresiamgoroba"
   > <theresiamgoroba@> wrote:
   > >
   > > >Habari marafiki,nadhani kichwa cha habari kinajieleza wazi hapo
   > juu,
   > > >Maada kuu kuhusiana na wasichana wanaopata mimba wakiwa bado
   wapo
   > > shuleni,Ni kweli kwamba mabinti wengi wamejikuta wakiingia katika
   > > vishawishi hadi kupelekea kukumbwa na tatizo kama hili,
   > > >Asilimia kubwa ya wasichana wamepoteza muelekeo wa maisha yao
   > > kutokana na kushawishiwa.
   > > >Kwa mujibu wa kauli zitolewazo na serikali kutokana na tatizo
   hili
   > ni
   > > kwamba,endapo mtoto wa kike atakapokabiliwa na hili tatizo basi
   > hana
   > > budi kuendelea na masomo mara baada y kujifungua na mtoto kupata
   > > matunzo ambayo yatamuwezesha mzazi huyo kurudi na kuendelea na
   > masomo
   > > yake.
   > > >Kwa kuwa wote tunalifahamu fika tatizo hili,Je ni kweli
   wasichana
   > > hawa wanarudi mashuleni?
   > > >Na kama wanarudi ni kweli wanapata fursa kama ilivyo kwa
   wanafunzi
   > > wengine?
   > > >Na je ni asilimia ngapi?
   > > >Ni mimi rafiki yenu..
   > > >Theresia.
   > >
   > Ni ukweli usiopingika kwamba wasichana wengi anaopata ujauzito
   > wakiwa shuleni hawapati fursa ya kuendelea na masomo,japokuwa
   > serikali imekubaliana na mabinti hao waweze kurudi shule.Ni tatizo
   > linalozidi kukithiri hususani vijijini na hata mijini pia ambapo
   > tunaamini watu wengi hususani wazazi wanatambua suala hilo.Raisi
   > Jakaya kikwete amesisitiza serikali wote kwa pamoja na raia
   > kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi sambamba na kuwafichia
   > wazazi wanaowaozesha watoto wao wakiwa bado mashuleni.Hii
   inaonyesha
   > jinsi gani serikali inavyokelwa na tatizo hili lakini swali
   linabaki
   > hivi ni kweli wasichana wote wanarudi mashuleni au ndiyo teyari
   mama
   > wa familia?.
   >
   > Ni kweli kwamba wasichana wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni
   hawapati
   > nafasi ya kuendelea na masomo.Hii si haki kwasababu kila binadamu
   ana
   > haki ya kupata elimu iliyo bora bila ubaguzi wowote.
   > Lakini pia tukumbuke kwamba katika kila jamii kuna miiko na maadili
   > yanayotofautisha jamii moja na nyingine.Wazee wetu walitufundisha
   > maadili na miiko mbalimbali.Walitufundisha kwa mifano,mathalani kwa
   > kutumia hadithi na vitendawili.Mambo haya kwa sasa hayapo
   tena,tumebaki
   > kuhalalisha maovu kwa mgongo wa neno haki sawa kwa wote.Mnafikiri
   kwamba
   > tunaipeleka wapi jamii yetu?Tutawarithisha nini watoto wetu cha
   > kujiunia?Tumetafiti vya kutosha na kugundua tatizo hasa ni nini?
   Mimi
   > binafsai ninaamini kwamba bado,bali tunachofanya ni kutafuta njia
   > zamkato kwa ufumbuzi wa tatizo kubwa.Tujifunze basi uktafuta
   suluhisho
   > la kudumu kwa tatizo hili.
   > Njia mojawapo ni kuanzisha elimu ya maadili kwa watoto na vijana
   > wetu.Liwepo somo la maadili mashuleni na vyuoni.Somo hili liwe
   maalumu
   > katika kutoa elimu ya maadili kiufasaha kwa watoto na
   vijana.Ninaamini
   > vijana na watoto wakipewa elimu hii itawaaidia kujua miiko ya
   maisha,si
   > kuwahamasisha kwa kuwaahidi fursa nyingine pindi watakapofanya kile
   > ambacho si kitendo cha kimaadili katika jamii
   iliyostaarabika.Tujifunze
   > kufuata njia za haki na maadili.Siingi wasichana hawa kupewa fursa
   > nyingine bali ninapendekeza zaidi elimu ili kupunguza idadi ya
   watoto
   > wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni.Tuangalie nini tatizo kisha
   tutafute
   > njia za ufumbuzi wa tatizo.HUO NI MTAZAMO WANGU.Have nice time on
   your
   > way to Christimas.
   >
   > ---------------------------------
   > Looking for the perfect gift? Give the gift of Flickr! Back to
   top
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#toc> Reply to
   sender
   > <mailto:pjingu@...?Subject=Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wasichana%
   \
   > 20wanaopata%20ujauzito%20shuleni%27%27> | Reply to group
   > <mailto:HakiElimuRafiki@yahoogroups.com?Subject=
   > Re%3A%20%27%27Vipi%20kuhusu%20wasichana%20wanaopata%20ujauzito%
   20shuleni\
   > %27%27> | Reply via web post
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/post;_ylc=X3oDMTJwMmpt
   ZXB\
   >
   zBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRtc2dJ
   ZAM\
   > zNwRzZWMDZG1zZwRzbGsDcnBseQRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz?
   act=reply&messageNum=3\
   > 7>
   > Messages in this topic
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/34;_ylc=X3oDMT
   Myb\
   >
   nZ0Yml1BF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   >
   2dJZAMzNwRzZWMDZG1zZwRzbGsDdnRwYwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkzBHRwY0lkAzM0>
   (3)
   > 2a. Re: VIJANA
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/36;_ylc=X3oDMT
   JwN\
   >
   mEwM3VmBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   > 2dJZAMzNgRzZWMDZG1zZwRzbGsDdm1zZwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> Posted
   by:
   > "leonardpaul52" leonardpaul52@...
   > <mailto:leonardpaul52@...?Subject= Re%3A%20VIJANA> leonardpaul52
   > <http://profiles.yahoo.com/leonardpaul52> Sun Dec 16, 2007 2:14 am
   > (PST) --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com
   > <mailto:HakiElimuRafiki%40yahoogroups.com> , remmy zullu <remmyxl@>
   > wrote:
   > >
   > > Sawa nashukuru kwa swali lako linalo husu vijana kamanilivyo
   > elezea awali.Inabidi walezi wawe makini na watoto wao kwa kut o
   > shawishika na maisha ya mjini,pia wajitahidi kwa kila ili kuwapatia
   > elimu iliyo bora kwa maisha yao wakiwa huko huko vijijini, kwa
   > sababu vijana wanapochukuliwa vijijini na kupelekwa mjini walezi
   > hawajui watoto wao wanaishi katika mazingira gani pindi wanapo
   > fikiswa mjini,walezi hao hufikiria watoto wao wanapo kuwa mjini
   > huishi maisha mazuri kumbe wengine huteseka tu,kwahiyo juhudikubwa
   > inabidi zitoke kwa walezi kuwa na msimamo mmoja.Sawa bw, wiliam ni
   > mimi Remmy zullu.
   > > kwa mawozo ya wengi umaskini ndiyo chanzo gha matatizo; yote na
   > ukosefu wa elimu.wengi bado awatambui umuhim na uendelevu wa maisha
   > bora;usemi wako ni kweli rakini kwanini sisi vijan tusichukue fursa
   > hii kuwaelimisha waweze kuondokana na huu uelew finyu ili 2weze
   > kuendeleza miji na vijiji?ni mimi mnaghama wa uyoga paul leonard.
   > >
   > >
   > > ---------------------------------
   > > All new Yahoo! Mail -
   > > ---------------------------------
   > > Get a sneak peak at messages with a handy reading pane.
   > >
   >
   > Back to top
   > <http://ca.f588.mail.yahoo.com/ym/Compose?
   box=Inbox&Mid=5601_6424675_168\
   >
   476_2212_8177_0_10298_28614_2267492298&inc=&Search=&YY=23813&y5beta=y
   es&\
   > y5beta=yes&order=down&sort=date&pos=0&view=a&head=b#toc> Reply to
   sender
   > <mailto:leonardpaul52@...?Subject=Re%3A%20VIJANA> | Reply to group
   > <mailto:HakiElimuRafiki@yahoogroups.com?Subject= Re%3A%20VIJANA> |
   Reply
   > via web post
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/post;_ylc=X3oDMTJwNGYx
   cWV\
   >
   kBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRtc2dJ
   ZAM\
   > zNgRzZWMDZG1zZwRzbGsDcnBseQRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz?
   act=reply&messageNum=3\
   > 6>
   > Messages in this topic
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/message/25;_ylc=X3oDMT
   MyZ\
   >
   zFqNDFhBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQ
   Rtc\
   >
   2dJZAMzNgRzZWMDZG1zZwRzbGsDdnRwYwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkzBHRwY0lkAzI1>
   (4)
   > Recent Activity
   > * 1 New Members
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/members;_ylc=X3oDMTJnN
   WEy\
   >
   aXMxBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZ
   WMD\
   > dnRsBHNsawN2bWJycwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz>
   > Visit Your Group
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki;_ylc=X3oDMTJmaDlqMjdyB
   F9T\
   >
   Azk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMDdnRsB
   HNs\
   > awN2Z2hwBHN0aW1lAzExOTc4ODI0OTM-> Yahoo! Kickstart Sign up
   today!
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12ji45i5l/M=493064.11711036.12182483.970
   657\
   >
   0/D=groups/S=1705080709:NC/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=5008864/R=0/SIG=1
   119\
   > 1fg3c/*http://beta.kickstart.yahoo.com> Find great recruits for
   your
   > company. Y! Messenger Instant hello
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12jgbgio1/M=493064.10729668.11333359.867
   457\
   >
   8/D=groups/S=1705080709:NC/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=3848582/R=0/SIG=1
   1um\
   >
   g3fun/*http://us.rd.yahoo.com/evt=42403/*http://messenger.yahoo.com>
   > Chat over IM with group members. Cat Groups on Yahoo! Groups
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12j3ngf7s/M=493064.11292562.11840176.867
   457\
   >
   8/D=groups/S=1705080709:NC/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=4836037/R=0/SIG=1
   1ol\
   > bte0b/*http://advision.webevents.yahoo.com/catzone/index.html>
   discuss
   > everything related to cats. Need to Reply? Click one of
   the "Reply"
   > links to respond to a specific message in the Daily Digest. Create
   New
   > Topic
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/post;_ylc=X3oDMTJmZXFk
   ZXJ\
   >
   2BF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMD
   ZnR\
   > yBHNsawNudHBjBHN0aW1lAzExOTc4ODI0OTM-> | Visit Your Group on the
   Web
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki;_ylc=X3oDMTJkM2twMWgwB
   F9T\
   >
   Azk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMDZnRyB
   HNs\
   > awNocARzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> Messages
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/messages;_ylc=X3oDMTJm
   Y3F\
   >
   hZTFpBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRz
   ZWM\
   > DZnRyBHNsawNtc2dzBHN0aW1lAzExOTc4ODI0OTM-> | Files
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/files;_ylc=X3oDMTJnZXR
   xcz\
   >
   AzBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWM
   DZn\
   > RyBHNsawNmaWxlcwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> | Photos
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/photos;_ylc=X3oDMTJmOW
   c0c\
   >
   GpqBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZW
   MDZ\
   > nRyBHNsawNwaG90BHN0aW1lAzExOTc4ODI0OTM-> | Links
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/links;_ylc=X3oDMTJnZzF
   lan\
   >
   JyBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWM
   DZn\
   > RyBHNsawNsaW5rcwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> | Database
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/database;_ylc=X3oDMTJk
   Y2l\
   >
   sM2VnBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRz
   ZWM\
   > DZnRyBHNsawNkYgRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> | Polls
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/polls;_ylc=X3oDMTJnZjZ
   iNj\
   >
   AxBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWM
   DZn\
   > RyBHNsawNwb2xscwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> | Members
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/members;_ylc=X3oDMTJmd
   jk0\
   >
   OGdjBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZ
   WMD\
   > ZnRyBHNsawNtYnJzBHN0aW1lAzExOTc4ODI0OTM-> | Calendar
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/calendar;_ylc=X3oDMTJl
   Zjh\
   >
   wZm9hBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRz
   ZWM\
   > DZnRyBHNsawNjYWwEc3RpbWUDMTE5Nzg4MjQ5Mw--> MARKETPLACE Earn
   your
   > degree in as few as 2 years - Advance your career with an AS, BS,
   MS
   > degree
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12mo1orm6/M=571476.11980635.12415409.115
   097\
   >
   71/D=groups/S=1705080709:MKP1/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=5086951/R=0/SI
   G=1\
   > 2k1dq4mv/*http://college-finder.net/index.cfm?
   key=yahoo_colfngrouptxt_11\
   > 980635&c=CA152932587> - College-Finder.net. Fed Lowers Rates
   Again
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12mrkp0cm/M=571699.11901686.12405080.108
   355\
   >
   68/D=groups/S=1705080709:MKP1/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=5101582/R=0/SI
   G=1\
   > 2fi4tck9/*http://www.lowermybills.com/lre/index.jsp?sourceid=lmb-
   12142-2\
   > 3262&moid=20017> - $270,000 Mortgage for $1,498/Mo. No Credit
   Check
   > Needed No Credit Check Needed - Estimate New Payment
   >
   <http://us.ard.yahoo.com/SIG=12mrkp0cm/M=571699.11901686.12405080.108
   355\
   >
   68/D=groups/S=1705080709:MKP1/Y=YAHOO/EXP=1197889693/A=5101582/R=1/SI
   G=1\
   > 2fi4tck9/*http://www.lowermybills.com/lre/index.jsp?sourceid=lmb-
   12142-2\
   > 3262&moid=20017> . [Yahoo! Groups]
   >
   <http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJlMnNpajBoBF9TAzk3MzU5NzE1BGdycE
   lkA\
   >
   zIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMT
   E5N\
   > zg4MjQ5Mw-->
   > Change settings via the Web
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki/join;_ylc=X3oDMTJnOG41
   aDU\
   >
   2BF9TAzk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMD
   ZnR\
   > yBHNsawNzdG5ncwRzdGltZQMxMTk3ODgyNDkz> (Yahoo! ID required)
   > Change settings via email: Switch delivery to Individual
   > <mailto:HakiElimuRafiki-normal@yahoogroups.com?subject=Email
   Delivery:
   > Indiviual Email> | Switch format to Traditional
   > <mailto:HakiElimuRafiki-traditional@yahoogroups.com?subject=Change
   > Delivery Format: Traditional>
   > Visit Your Group
   >
   <http://groups.yahoo.com/group/HakiElimuRafiki;_ylc=X3oDMTJlZWdrNzU3B
   F9T\
   >
   Azk3MzU5NzE1BGdycElkAzIwNjEyMzQyBGdycHNwSWQDMTcwNTA4MDcwOQRzZWMDZnRyB
   HNs\
   > awNocGYEc3RpbWUDMTE5Nzg4MjQ5Mw--> | Yahoo! Groups Terms of Use
   > <http://docs.yahoo.com/info/terms/> | Unsubscribe
   > <mailto:HakiElimuRafiki-unsubscribe@yahoogroups.com?
   subject=Unsubscribe>
   > [http://geo.yahoo.com/serv?
   s=97359715/grpId=20612342/grpspId=1705080709/\
   > msgId=28/stime=1197882493/nc1=5008864/nc2=3848582/nc3=4836037]
   >
   >
   >
   > --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "theresiamgoroba"
   > <theresiamgoroba@> wrote:
   > >
   > > >Habari marafiki,nadhani kichwa cha habari kinajieleza wazi hapo
   juu,
   > > >Maada kuu kuhusiana na wasichana wanaopata mimba wakiwa bado
   wapo
   > > shuleni,Ni kweli kwamba mabinti wengi wamejikuta wakiingia katika
   > > vishawishi hadi kupelekea kukumbwa na tatizo kama hili,
   > > >Asilimia kubwa ya wasichana wamepoteza muelekeo wa maisha yao
   > > kutokana na kushawishiwa.
   > > >Kwa mujibu wa kauli zitolewazo na serikali kutokana na tatizo
   hili ni
   > > kwamba,endapo mtoto wa kike atakapokabiliwa na hili tatizo basi
   hana
   > > budi kuendelea na masomo mara baada y kujifungua na mtoto kupata
   > > matunzo ambayo yatamuwezesha mzazi huyo kurudi na kuendelea na
   masomo
   > > yake.
   > > >Kwa kuwa wote tunalifahamu fika tatizo hili,Je ni kweli
   wasichana
   > > hawa wanarudi mashuleni?
   > > >Na kama wanarudi ni kweli wanapata fursa kama ilivyo kwa
   wanafunzi
   > > wengine?
   > > >Na je ni asilimia ngapi?
   > > >Ni mimi rafiki yenu..
   > > >Theresia.
   > >
   > Wapendwa marafiki wa elimu, Napenda kusema kuwa nimefurahishwa
   sana
   > michango yetu kwenye mada hii inayohusu wasichana wanaopata
   ujauzito
   > wakiwa mashuleni.Baada ya kutoa shukurani zangu naomba nami
   nichangie
   > japo kwa ufupi.Kweli hili ni tatizo kama alivyoelezea rafiki yetu
   > Theresia,kuna idadi kubwa ya wasichana walioathirika kutokana na
   tatizo
   > hili kwa kweli sina takwimu sahihi juu ya walioathirika,na katika
   > utafiti wangu katika swala la elimu najaribu kutafuta takwimu
   > zitakazotuwezesha kujua ukubwa wa tatizo na kupendekeza mbinu za
   > kulitatua tatizo hili kabla halijaleta madhara makubwa. Pia
   > nakubaliana na wanaosema ni vyema msichana aliyepata ujauzito
   kuruhusiwa
   > kuendelea na masomo,kwana kumzuia msichana kama huyo ni kumnyima
   haki
   > yake ya msingi ya kupata elimu.Na hapa ieleweke wazi kwamba
   mkataba wa
   > kimataifa wa haki za binadamu umetamka kuwa elimu ni hitaji la
   msingi la
   > kila binadamu,kwa hiyo imetamkwa kuwa elimu ni haki ya msingi kwa
   kila
   > binadamu na inasisitizwa ya kuwa haki hii ya kupata elimu isiwekewe
   > vikwazo ambavyo vitawazuia baadhi kuikosa elimu.Kinachoendelea kwa
   sasa
   > katka nchi yetu hii ya Tanzania ni kwamba elimu hatolewi kwa
   haki,kwa
   > sababu kwa upande mmoja elimu hiyo inatolewa kibiashara zaidi.
   > Watu masikini ndio wanoikosa elimu,si kwa sababu hawahiihitaji bali
   > hawawezi kumudu gharama,tuungane sasa kudai haki hii tunayoikosa
   pia
   > nawashukuruni tena kwa kuonyesha uhai na kufanya kundi letu lipate
   sifa
   > Minciu Sodas,endeleeni mungu awabariki. Thanks Josephat
   > Ndibalema-Uyoga member
   >
   > HakiElimuRafiki@yahoogroups.com wrote:
   >Ni matumaini yangu wazima marafiki wenzangu,Na hatuna budi
   kumshukuru mungu kutuwezesha kufika hadi mwaka 2008.
   >Nimefurahishwa sana na Maada iliyoanzishwa na rafiki yetu Theresia
   kuhusiana na tatizo la wasichana.
   >Kwa mchango ambao ningependa na mimi kuchangia ni kwamba:
   >Kutokana na tatizo hili kuwa kubwa sana linapelekea wasichana wengi
   kukata tamaa ya maisha kwani hli ambayo wanakabiliana nayo pindi
   wapatapo ujauzito ni ngumu kupita kiasi,na ukiangalia wasichana
   wengi wanaoathiriwa ni wadogo mno.
   >Babala yake huwa wanahisi kwamba maicha yameshawashinda na hamna
   jinsi ya kufanya zaidi ya kuendelea na tabia ambayo si njema hata
   kwa mtazamo wa kibinadamu.
   >Wengi ambao wameamua kufanya hata biashara ya kuuza miili yao ili
   kuweza kupata mahitaji yao binfsi pamoja na watoto waliokuwa nao
   kwani unakuta wanaume wanaowazalisha hawana kipato wala kazi za
   kueleweka.
   Hali kwa jinsi livyo sasa marafiki wenzangu,hatuna mudi kutilia
   mkazo swala hili kwaningugu zetu,dada zetu,wadogo zutu wanapote na
   kupoteza muelekeo katika maisha yao.
   Ni hayo tu machache na pia ningependa kumshukuru dada Theresia kwa
   kuweza kuanzisha maada hii ambayo kipindi kirefu imekuwa ikifmbiwa
   macho,
   Ni mimi rafiki yenu,
   Abinel Emmauel,
   Mwanachama UYOGA.
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.