Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.
 

SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Expand Messages
 • remmy zullu
  1/12/2007 TANZANIA YOUTH FORUM- UNISEF, ambalo ni shirika la kulea watoto ili andaa mkutano wa vijana katika kujadili ni jinsigani
  Message 1 of 1 , Dec 2, 2007
    1/12/2007                        TANZANIA  YOUTH FORUM- UNISEF, ambalo ni   shirika la kulea watoto  ili andaa mkutano wa vijana katika kujadili ni jinsigani vijana tutaweza kukabiliana  janga hili la  ukimwi, suala zima lilikwa ni kupata elimu ya ukimwi kwa vijana wote na kuchangia mawazo pamoja na maswali.Kwa kweli ukimwi nijanga kubwa linalo ua maelfu ya watu duniani kote, na chanzo nisisi vijana ambao tunao uamuzi wa kuutokomeza ukimwi kwa kuepuka vishawishi vibaya na matamanio ya kimwili.Takwimu ya kidunia inaonyesha kuwa watu 14,000 kwa siku wanapata HIV,kwa siku kila dakika 1 watoto  wanaaga dunia nchi zilizo katika jangwa la sahara kwa, kwa hiyo elimu ya ukimwi itolewe vijijini kwa sababu vijijini ndio wanaathirika kwa kiasi kikubwa.Pia katika Meeting  hiyo kulikuwa na wana  dada wawili kutoka sweeden  ambao wali kuja kuchukua picha ya video ili kwenda kuingiza kwenye video yao  ambayo wanaiandaa, pia walitoa zawadi ya kofia na tishirt pamoja na  vijarida kadhaa vya kusoma. Baadhi ya vijana walitoa burudani ya kuhamasisha kuepuka ukimwi ikiwamo maigizo  pamoja na parfoming na katika upande wa burudani ali parfom Abinel  akisaidiwa na plims lugemwa ambao ni wanachama wa UYOGA katika kuhamasisha mlipuko wa gonjwa la ukimwi ,watu walifurahi na kila mtu ali ondoka na pointi zake alizo zipata. Kwa hiyo tunapaswa kutambua jinsi gani tutaweza kuepuka na janga hili la ukimwi  kwa  biliana na jinsi gani tutaweza kuepuka ukimwi.


   Looking for a X-Mas gift? Everybody needs a Flickr Pro Account!
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.