Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.

Mikutano ya Uyoga

Expand Messages
 • Josephat Ndibalema
  Ndugu Marafiki, Ni matarajio yangu kuwa ni wazima wa afya,mada mbele yetu leo ni kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara kwa mara nia
  Message 1 of 4 , Oct 2, 2007
  • 0 Attachment
   Ndugu Marafiki,
   Ni matarajio yangu kuwa ni wazima wa afya,mada mbele yetu leo ni kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara kwa mara nia ikiwa ni kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yahusuyo kikundi chetu cha Uyoga na nimatumaini yangu kuwa kila mmoja anaelewa hilo.
    
           Sasa la muhimu ni kila mmoja kutambua umuhimu wa mikutano hii na kuudhulia bila kukosa kwani kutofanya hivyo ni kurudisha kikundi nyuma,ili wote tuweze kwenda pamoja lazima tuwe kitu kimoja hasa pale inapotakiwa kutoa mawazo na maamuzi yenye lengo la kujenga kikundi chetu.Nimeamua kulisema hili kutokana na baadhi ya wanachama kutotilia maanani vikao/mikutano.
    
           Kwa mara nyingine tena tunakutana tarehe 07th / October / 2007 itakuwa siku ya jumapili majira ya saa 09:00 mchana,naomba kila mmoja wetu audhulie bila kukosa.Ushiriki wetu kwenye vikao/mikutano una maana kubwa sana katika kujenga kikundi tukitambua kabisa kwamba kikundi hiki bado ni kichanga na kichanga ni lazima kipewe malezi mazuri ili kiweze kukua na si kudumaa.Napena nisisitize tena ushiriki wa mtu ndio utakaompa nafasi ndani ya kikundi.
    
          Mafanikio hayaji kwa kumtegemea mtu wa pembeni bali ni mtu mwenyewe kugundua fursa zilizopo na kuzitumia kwa manufaa yake mwenyewe na wengine,wakati huu ni wa mabadiliko yanayohitaji msukumo binafsi na kujenga tabia ya kujifunza ili kujua zaidi,na baada ya kujifunza tenda kulingana na mafunzo uliyoyapata hapo utakuza ufahamu wako na hekima, hayo yote yatakufanya uheshimike.
    
         Tushirikiane kujenga kikundi kwa manufaa yetu na jamii nzima.Nawakaribisheni Jumapili,kikao kitafanyika nyumbani kwa mwanachama mwenzetu Sarah maeneo ya Victoria kwa maelekezo ikipanda gari toka Magomeni omba msaada FAO kabla ujafika kituo cha Victoria
    
   Ni Rafiki yenu,
   Josephat Ndibalema. 

   Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk email the boot with the All-new Yahoo! Mail
  • abinelimmanuel
   ... kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara kwa mara nia ikiwa ni kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yahusuyo kikundi chetu cha Uyoga
   Message 2 of 4 , Dec 12, 2007
   • 0 Attachment
    --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, Josephat Ndibalema
    <ndibajosephat@...> wrote:
    >
    > Ndugu Marafiki,
    > Ni matarajio yangu kuwa ni wazima wa afya,mada mbele yetu leo ni
    kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara kwa
    mara nia ikiwa ni kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yahusuyo
    kikundi chetu cha Uyoga na nimatumaini yangu kuwa kila mmoja
    anaelewa hilo.
    >
    > Sasa la muhimu ni kila mmoja kutambua umuhimu wa
    mikutano hii na kuudhulia bila kukosa kwani kutofanya hivyo ni
    kurudisha kikundi nyuma,ili wote tuweze kwenda pamoja lazima tuwe
    kitu kimoja hasa pale inapotakiwa kutoa mawazo na maamuzi yenye
    lengo la kujenga kikundi chetu.Nimeamua kulisema hili kutokana na
    baadhi ya wanachama kutotilia maanani vikao/mikutano.
    >
    > Kwa mara nyingine tena tunakutana tarehe 07th /
    October / 2007 itakuwa siku ya jumapili majira ya saa 09:00
    mchana,naomba kila mmoja wetu audhulie bila kukosa.Ushiriki wetu
    kwenye vikao/mikutano una maana kubwa sana katika kujenga kikundi
    tukitambua kabisa kwamba kikundi hiki bado ni kichanga na kichanga
    ni lazima kipewe malezi mazuri ili kiweze kukua na si kudumaa.Napena
    nisisitize tena ushiriki wa mtu ndio utakaompa nafasi ndani ya
    kikundi.
    >
    > Mafanikio hayaji kwa kumtegemea mtu wa pembeni bali ni
    mtu mwenyewe kugundua fursa zilizopo na kuzitumia kwa manufaa yake
    mwenyewe na wengine,wakati huu ni wa mabadiliko yanayohitaji msukumo
    binafsi na kujenga tabia ya kujifunza ili kujua zaidi,na baada ya
    kujifunza tenda kulingana na mafunzo uliyoyapata hapo utakuza
    ufahamu wako na hekima, hayo yote yatakufanya uheshimike.
    >
    > Tushirikiane kujenga kikundi kwa manufaa yetu na jamii
    nzima.Nawakaribisheni Jumapili,kikao kitafanyika nyumbani kwa
    mwanachama mwenzetu Sarah maeneo ya Victoria kwa maelekezo ikipanda
    gari toka Magomeni omba msaada FAO kabla ujafika kituo cha Victoria
    >
    > Ni Rafiki yenu,
    > Josephat Ndibalema.
    > Habarizenu wote,ni kweli kwamba Uyoga ni ya wanachama na ndio
    wajenzi wa kuifanya ikue zaidi,namuungamkono Josephat,Hatuna budi
    kushikamana.
    > Abinel
    > ---------------------------------
    > Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk
    email the boot with the All-new Yahoo! Mail
    >
   • Prims Primson
    Ni kweli kwamba mwanachama unaposhiriki kwenye mikutano ndipo uhai wako unaonekana kama mwanachama bora,mwajibikaji,mwenye kujitolea bil kushurutishwa
    Message 3 of 4 , Dec 12, 2007
    • 0 Attachment
     Ni kweli kwamba mwanachama unaposhiriki kwenye mikutano ndipo uhai wako unaonekana kama mwanachama bora,mwajibikaji,mwenye kujitolea bil kushurutishwa .Yatupasa kushiriki vyema mikutano

     ----- Original Message ----
     From: abinelimmanuel <abinelimmanuel@...>
     To: HakiElimuRafiki@yahoogroups.com
     Sent: Wednesday, December 12, 2007 12:08:08 PM
     Subject: [HakiElimuRafiki] Re: Mikutano ya Uyoga

     --- In HakiElimuRafiki@ yahoogroups. com, Josephat Ndibalema
     <ndibajosephat@ ...> wrote:

     >
     > Ndugu Marafiki,
     > Ni matarajio yangu kuwa ni wazima wa afya,mada mbele yetu leo ni
     kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara kwa
     mara nia ikiwa ni kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yahusuyo
     kikundi chetu cha Uyoga na nimatumaini yangu kuwa kila mmoja
     anaelewa hilo.
     >
     > Sasa la muhimu ni kila mmoja kutambua umuhimu wa
     mikutano hii na kuudhulia bila kukosa kwani kutofanya hivyo ni
     kurudisha kikundi nyuma,ili wote tuweze kwenda pamoja lazima tuwe
     kitu kimoja hasa pale inapotakiwa kutoa mawazo na maamuzi yenye
     lengo la kujenga kikundi chetu.Nimeamua kulisema hili kutokana na
     baadhi ya wanachama kutotilia maanani vikao/mikutano.
     >
     > Kwa mara nyingine tena tunakutana tarehe 07th /
     October / 2007 itakuwa siku ya jumapili majira ya saa 09:00
     mchana,naomba kila mmoja wetu audhulie bila kukosa.Ushiriki wetu
     kwenye vikao/mikutano una maana kubwa sana katika kujenga kikundi
     tukitambua kabisa kwamba kikundi hiki bado ni kichanga na kichanga
     ni lazima kipewe malezi mazuri ili kiweze kukua na si kudumaa.Napena
     nisisitize tena ushiriki wa mtu ndio utakaompa nafasi ndani ya
     kikundi.
     >
     > Mafanikio hayaji kwa kumtegemea mtu wa pembeni bali ni
     mtu mwenyewe kugundua fursa zilizopo na kuzitumia kwa manufaa yake
     mwenyewe na wengine,wakati huu ni wa mabadiliko yanayohitaji msukumo
     binafsi na kujenga tabia ya kujifunza ili kujua zaidi,na baada ya
     kujifunza tenda kulingana na mafunzo uliyoyapata hapo utakuza
     ufahamu wako na hekima, hayo yote yatakufanya uheshimike.
     >
     > Tushirikiane kujenga kikundi
     kwa manufaa yetu na jamii
     nzima.Nawakaribishe ni Jumapili,kikao kitafanyika nyumbani kwa
     mwanachama mwenzetu Sarah maeneo ya Victoria kwa maelekezo ikipanda
     gari toka Magomeni omba msaada FAO kabla ujafika kituo cha Victoria
     >
     > Ni Rafiki yenu,
     > Josephat Ndibalema.
     > Habarizenu wote,ni kweli kwamba Uyoga ni ya wanachama na ndio
     wajenzi wa kuifanya ikue zaidi,namuungamkono Josephat,Hatuna budi
     kushikamana.
     > Abinel
     > ------------ --------- --------- ---
     > Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk
     email the boot with the All-new Yahoo! Mail
     >
     Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk email the boot with the All-new Yahoo! Mail
    • theresiamgoroba
     ... ni ... kwa ... kudumaa.Napena ... msukumo ... ikipanda
     Message 4 of 4 , Dec 14, 2007
     • 0 Attachment
      --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "abinelimmanuel"
      <abinelimmanuel@...> wrote:
      >
      > --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, Josephat Ndibalema
      > <ndibajosephat@> wrote:
      > >
      > > Ndugu Marafiki,
      > > Ni matarajio yangu kuwa ni wazima wa afya,mada mbele yetu leo
      ni
      > kuhusu Mikutano ya kikundi chetu ambayo imekuwa ikifanyika mara
      kwa
      > mara nia ikiwa ni kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yahusuyo
      > kikundi chetu cha Uyoga na nimatumaini yangu kuwa kila mmoja
      > anaelewa hilo.
      > >
      > > Sasa la muhimu ni kila mmoja kutambua umuhimu wa
      > mikutano hii na kuudhulia bila kukosa kwani kutofanya hivyo ni
      > kurudisha kikundi nyuma,ili wote tuweze kwenda pamoja lazima tuwe
      > kitu kimoja hasa pale inapotakiwa kutoa mawazo na maamuzi yenye
      > lengo la kujenga kikundi chetu.Nimeamua kulisema hili kutokana na
      > baadhi ya wanachama kutotilia maanani vikao/mikutano.
      > >
      > > Kwa mara nyingine tena tunakutana tarehe 07th /
      > October / 2007 itakuwa siku ya jumapili majira ya saa 09:00
      > mchana,naomba kila mmoja wetu audhulie bila kukosa.Ushiriki wetu
      > kwenye vikao/mikutano una maana kubwa sana katika kujenga kikundi
      > tukitambua kabisa kwamba kikundi hiki bado ni kichanga na kichanga
      > ni lazima kipewe malezi mazuri ili kiweze kukua na si
      kudumaa.Napena
      > nisisitize tena ushiriki wa mtu ndio utakaompa nafasi ndani ya
      > kikundi.
      > >
      > > Mafanikio hayaji kwa kumtegemea mtu wa pembeni bali ni
      > mtu mwenyewe kugundua fursa zilizopo na kuzitumia kwa manufaa yake
      > mwenyewe na wengine,wakati huu ni wa mabadiliko yanayohitaji
      msukumo
      > binafsi na kujenga tabia ya kujifunza ili kujua zaidi,na baada ya
      > kujifunza tenda kulingana na mafunzo uliyoyapata hapo utakuza
      > ufahamu wako na hekima, hayo yote yatakufanya uheshimike.
      > >
      > > Tushirikiane kujenga kikundi kwa manufaa yetu na jamii
      > nzima.Nawakaribisheni Jumapili,kikao kitafanyika nyumbani kwa
      > mwanachama mwenzetu Sarah maeneo ya Victoria kwa maelekezo
      ikipanda
      > gari toka Magomeni omba msaada FAO kabla ujafika kituo cha Victoria
      > >
      > > Ni Rafiki yenu,
      > > Josephat Ndibalema.
      > > Habarizenu wote,ni kweli kwamba Uyoga ni ya wanachama na ndio
      > wajenzi wa kuifanya ikue zaidi,namuungamkono Josephat,Hatuna budi
      > kushikamana.
      > > Abinel
      > > ---------------------------------
      > > Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk
      > email the boot with the All-new Yahoo! Mail
      > Habari marafiki,
      >kila penye nia pana njia,sisi kama wanachama wa Uyoga,ili tuweze
      >kuendeleza kikundi hatuna budi kushiriki kikamalifukatika vikao
      >vyetu.Hivyo basi napenda kuwakumbusha wanachama kuwa ifikapo siku
      >ya jumapili kutakuwa na kikao kitakachofanyika Makumbusho kwa
      >mwanachama mwenzetu<Mwanaidi>Muda ni kama unavyotambulika,
      >Bila kusahau Uyoga school siku ya jumamosi.
      >Nawatakieni maudhurio mema.
      >Theresia
      >
     Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.