Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.

Yahusu Mafunzo ya moja kwa moja kwa njia ya mtandao.

Expand Messages
 • Kiyavilo Msekwa
  Ndugu Marafiki.Natumai nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku. Hii ni kuwataarifu kuwa kutakuwa na maelekezo ya hatua kwa
  Message 1 of 2 , Feb 5, 2009
  • 0 Attachment

   Ndugu Marafiki.

   Natumai nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku. Hii ni kuwataarifu kuwa kutakuwa na maelekezo ya hatua kwa hatua juu ya somo linalohusu kutengeneza kurasa za tovuti kwa kutumia lugha iitwayo HTML yenye kirufu cha Hypertext Markup Language. Mwisho wa somo husika utakuwa na uwezo wa kuziandika kurasa za tovuti kwa namna unayoihitaji. 

   Hivyo kama utapendelea kujifunza tafadhali tuma barua pepe kuijibu hii barua kwa kuandika jina lako na ni nini unachotarajia kujifunza na kufahamu juu ya kurasa za tovuti. 

   Natumai mtapendelea kujifunza.

   wako

   Kims 


  • wamburawilliam
   ... william
   Message 2 of 2 , Mar 25, 2009
   • 0 Attachment
    --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, Kiyavilo Msekwa <kims00748@...> wrote:
    >
    > Ndugu Marafiki.Natumai nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku. Hii ni kuwataarifu kuwa kutakuwa na maelekezo ya hatua kwa hatua juu ya somo linalohusu kutengeneza kurasa za tovuti kwa kutumia lugha iitwayo HTML yenye kirufu cha Hypertext Markup Language. Mwisho wa somo husika utakuwa na uwezo wa kuziandika kurasa za tovuti kwa namna unayoihitaji. Hivyo kama utapendelea kujifunza tafadhali tuma barua pepe kuijibu hii barua kwa kuandika jina lako na ni nini unachotarajia kujifunza na kufahamu juu ya kurasa za tovuti. Natumai mtapendelea kujifunza.wakoKims 
    >Nimefurahi kukuona ukiandika email tena kwetu,ni mda mrefu sana.Ni vizuri
    william
   Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.