Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.

Re: Hakielimurafiki ni nini?

Expand Messages
 • abinelimmanuel
  Hatma ya maendeleo na mafanikio katika nchi hutokana na Elimu ya watu hao,yaani endapo watu wanapata Elimu iliyo bora ndipo hujipatia maendeleo
  Message 1 of 10 , Aug 4, 2007
  • 0 Attachment
   Hatma ya maendeleo na mafanikio katika nchi hutokana na Elimu ya
   watu hao,yaani endapo watu wanapata Elimu iliyo bora ndipo hujipatia
   maendeleo kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni.Ikiwa elimu ni haki ya
   msingi katika maisha yetu sisi wanadamu ili tuweze kukabiliana na
   mazingira yetu.Kinyume kabisa na Haki hii ya msingi niaina ya mafunzo
   ambayo humfundisha mtu kujifananisha na bidhaa ambazo thamani yake
   hupimwa kwa vyeti,shahada au sifa nyingine za kitaalamu.
   HakiElimuRafiki ni sehemu muhimu ambayo inatuunganisha marafiki
   kutoka sehemu mbalimbali ili tuweze kutambua na kutafuta ufumbuzi juu
   ya matatizo yanayoikabili Haki hii ya msingi.
   Naimani marafiki wote kwa ushirikiano wetu kwa pamoja tutafanikisha
   katika swala zima la kujikwamua katika utumwa wa kifikra.
  • abinelimmanuel
   Hatma ya maendeleo na mafanikio katika nchi hutokana na Elimu ya watu hao,yaani endapo watu wanapata Elimu iliyo bora ndipo hujipatia maendeleo
   Message 2 of 10 , Aug 4, 2007
   • 0 Attachment
    Hatma ya maendeleo na mafanikio katika nchi hutokana na Elimu ya
    watu hao,yaani endapo watu wanapata Elimu iliyo bora ndipo hujipatia
    maendeleo kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni.Ikiwa elimu ni haki ya
    msingi katika maisha yetu sisi wanadamu ili tuweze kukabiliana na
    mazingira yetu.Kinyume kabisa na Haki hii ya msingi niaina ya mafunzo
    ambayo humfundisha mtu kujifananisha na bidhaa ambazo thamani yake
    hupimwa kwa vyeti,shahada au sifa nyingine za kitaalamu.
    HakiElimuRafiki ni sehemu muhimu ambayo inatuunganisha marafiki
    kutoka sehemu mbalimbali ili tuweze kutambua na kutafuta ufumbuzi juu
    ya matatizo yanayoikabili Haki hii ya msingi.
    Naimani marafiki wote kwa ushirikiano wetu kwa pamoja tutafanikisha
    katika swala zima la kujikwamua katika utumwa wa kifikra.
   • wamburawilliam
    ... mafunzo ... juu ... Kinyume kabisa na Haki hii ya msingi niaina ya mafunzo ambayo humfundisha mtu kujifananisha na bidhaa ambazo thamani yake hupimwa kwa
    Message 3 of 10 , Aug 7, 2007
    • 0 Attachment
     --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "abinelimmanuel"
     <abinelimmanuel@...> wrote:
     >
     > Hatma ya maendeleo na mafanikio katika nchi hutokana na Elimu ya
     > watu hao,yaani endapo watu wanapata Elimu iliyo bora ndipo hujipatia
     > maendeleo kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni.Ikiwa elimu ni haki ya
     > msingi katika maisha yetu sisi wanadamu ili tuweze kukabiliana na
     > mazingira yetu.Kinyume kabisa na Haki hii ya msingi niaina ya
     mafunzo
     > ambayo humfundisha mtu kujifananisha na bidhaa ambazo thamani yake
     > hupimwa kwa vyeti,shahada au sifa nyingine za kitaalamu.
     > HakiElimuRafiki ni sehemu muhimu ambayo inatuunganisha marafiki
     > kutoka sehemu mbalimbali ili tuweze kutambua na kutafuta ufumbuzi
     juu
     > ya matatizo yanayoikabili Haki hii ya msingi.
     > Naimani marafiki wote kwa ushirikiano wetu kwa pamoja tutafanikisha
     > katika swala zima la kujikwamua katika utumwa wa kifikra.
     >ningeomba unifafanulie maana ya maneno haya,nini maana yake.
     Kinyume kabisa na Haki hii ya msingi niaina ya mafunzo
     ambayo humfundisha mtu kujifananisha na bidhaa ambazo thamani yake
     hupimwa kwa vyeti,shahada au sifa nyingine za kitaalamu
    • abinelimmanuel
     Ni harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuona Haki ya kupata elimu inakuwepo.
     Message 4 of 10 , Aug 8, 2007
     • 0 Attachment
      Ni harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuona Haki ya kupata
      elimu inakuwepo.
     • abinelimmanuel
      Ni harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuona Haki ya kupata elimu inakuwepo.
      Message 5 of 10 , Aug 8, 2007
      • 0 Attachment
       Ni harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuona Haki ya kupata
       elimu inakuwepo.
      • remmyxl
       HkiElimuRafiki@yahoogroups.com remmy zullu ... duni,pia nafahamu kwamba nia na dhumuni ni kutoa mchango wa elimu katika jamii kwa lengo la kuleta maendeleo
       Message 6 of 10 , Aug 8, 2007
       • 0 Attachment
        HkiElimuRafiki@yahoogroups.com remmy zullu
        >HakiElimuRafiki nikuwezakuunganisha jamii katika kubadili elimu
        duni,pia nafahamu kwamba nia na dhumuni ni kutoa mchango wa elimu
        katika jamii kwa lengo la kuleta maendeleo katika shughuli za kila
        siku kwa kubadilishana mawazo.
       • remmyxl
        Message 7 of 10 , Aug 18, 2007
        • 0 Attachment
         --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "remmyxl" <remmyxl@...> wrote:
         >
         > HkiElimuRafiki@yahoogroups.com remmy zullu
         > >HakiElimuRafiki nikuwezakuunganisha jamii katika kubadili elimu
         > duni,pia nafahamu kwamba nia na dhumuni ni kutoa mchango wa elimu
         > katika jamii kwa lengo la kuleta maendeleo katika shughuli za kila
         > siku kwa kubadilishana mawazo.
         >
        • remmyxl
         ... mimi naitwa remmy niliishia darasa la saba kutokana na mazingira niliokuwa naishi nyumbani yalikuwa magumu.Kwa kipindi nilichokuwa nasomaniliishi
         Message 8 of 10 , Aug 20, 2007
         • 0 Attachment
          --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "remmyxl" <remmyxl@...> wrote:
          >
          > HkiElimuRafiki@yahoogroups.com remmy zullu
          > >HakiElimuRafiki nikuwezakuunganisha jamii katika kubadili elimu
          > duni,pia nafahamu kwamba nia na dhumuni ni kutoa mchango wa elimu
          > katika jamii kwa lengo la kuleta maendeleo katika shughuli za kila
          > siku kwa kubadilishana mawazo.
          >KWA NINI VIJANA WENGI WANAACHA SHULE:
          mimi naitwa remmy niliishia darasa la saba kutokana na mazingira
          niliokuwa naishi nyumbani yalikuwa magumu.Kwa kipindi nilichokuwa
          nasomaniliishi nashangazi yangu,wazazi wangu walisafiri nje ya mkoa
          kwa kipindi ki refu na hatukuwa namawasiliano yoyote.Shangazi yangu
          nae alikuwa hanauwezo wa kunihudumia kilasku katika mahitaji yangu ya
          shule hata nyumbani,wakati mwingine naendashuleni nanjaa nikirudi
          nyumbani sipatichakula mpaka nimsubiri anti arumdi nyumbani ndio
          apikechakula cha usiku.Hali hiyo ilivyozidikuendelea naminikakata
          tamaa yakuendelea na masomo kisha nikaingia mitaani kutafuta kazi
          yoyote ilimradi nipate hela yakula na kuvaa.
         • Josephat
          Napenda kutoa zangu shukurani kwa ushiriki wenu,na hii inanipa matumaini ya kuwa sasa twawezi kutambua tuendako.Napenda pia kusisitiza kuwa shukuru zangu hizi
          Message 9 of 10 , Aug 21, 2007
          • 0 Attachment
           Napenda kutoa zangu shukurani kwa ushiriki wenu,na hii inanipa
           matumaini ya kuwa sasa twawezi kutambua tuendako.Napenda pia
           kusisitiza kuwa shukuru zangu hizi kwenu ni kutambua pia ya kuwa
           ninyi ni washiriki wa kwanza kabisa kuweza kufungua mjala huu
           unaohusiana na elimu.

           Napenda kusema ya kuwa tumeianza safari tusiyojua mwisho wake
           kutokana na umuhimu uliopo kuhusiana na swali hili la elimu katika
           jamii ya binadamu.Je tufanye nini ili tuipate hiyo elimu
           tunayohitaji?.Je nini wajibu wa serikali kama taasisi lasmi yenye
           wajibu juu ya jamii inayoongozwa.

           Baada ya hayo napenda nilejee kwenye hoja yetu ya msingi kuhusu
           hakielimu rafiki.Kwanza kabisa maneno haya yana asili yake.Hapa
           maneno ya msingi ni haki elimu kwa kingereza 'Education right'.Hapa
           kuna Elimu na Haki hivi vitu haviachani penye elimu panahitaji haki
           na hili elimu ipatikane kwa wanajamii wote lazima haki iwepo.Pia kw
           hapa kwetu Tanzania kuna shirika lisilo la kiserikali liitwalo Haki
           Elimu shirika hili limeanzishwa kwa ajili ya kuhimiza swala la elimu
           katika jamii ya watanzania,pia lina marafiki wa elimu hawa ni
           wanachama wa shirika hilo wanaojali swala la elimu.

           Hakielimu rafiki ni marafiki wa elimu wao wanapenda kila mtu
           apate elimu kwa manufaa ya jamii nzima.Swala hapa ni kukuza elimu
           katika jamii nzima na si mtu mmoja mmoja.Mdahalo huu utaendelea kwa
           kila rafiki kuto mchango wa mawazo yatakayowezesha mageuzi katika
           elimu.Kila rafiki anao uhuru wa kushiriki hata kwa kuelezea uzoefu
           alionao katika swala hili la elimu,je matatizo gani umekumbana nayo
           ukiwa kama mdau wa elimu.Nafurahi sana kama tunashirikiana katika
           hili.

           Nawatakia kila la heri katika mjadala huu na nawakaribisheni wote.

           Josephat Ndibalema           --- In HakiElimuRafiki@yahoogroups.com, "wamburawilliam"
           <wamburawilliam@...> wrote:
           >
           > Habari marafiki zetu,ningependa kujua kutoka kwenu manjua nini
           kuhusu
           > Hakielimurafiki,naamini kabisa hii itatuwezesha kupata mchakato wa
           > kwanza kwa kutambua maana ya maneno hayo,umuhimu wake,hatua za
           > utekelezaji wake pamoja na matokeo yake katika jamii yetu.Kribu
           > tujadili.
           >
          Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.