Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.

I C T

Expand Messages
 • remmy zullu
  Kamatunavyo fahamu ICT ni moja ya iunganishi baina ya watu kutoka sehemu hadi sehemu, na hii inasaidia kurahisisha taarifa kwa watu walioko mbali kuweza
  Message 1 of 1 , Jun 3, 2008
  • 0 Attachment
   Kamatunavyo fahamu ICT ni moja ya iunganishi baina ya watu kutoka sehemu hadi sehemu, na hii inasaidia kurahisisha taarifa kwa watu walioko mbali kuweza kuwasiliana kwa urahisi na kuwaunganisha kuwa pamoja,mimi nashukuru sana kulifahamu hili, na siku ya J. tatu tarehe 2/6/2008, niliweza kuwasiliana na kiyaviro ambaye pia ni mmoja wa members wa UYOGA hapa  A.town tuliweza kukutana pamoja kupitia mawasiliano pia alikuwa katika zoezi kutengeneza web site  ya UYOGA , na kuhusu LAP TOP alisema kunakifaa ambacho anasubiri Ricardo amuagizie ili kukamilisha zoezi hilo,   na huu ndio umuhimu wa ICT    by  remmy   zulu.


   Be smarter than spam. See how smart SpamGuard is at giving junk email the boot with the All-new Yahoo! Mail
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.