Loading ...
Sorry, an error occurred while loading the content.
 

TUSOME VITABU.

Expand Messages
 • remmy zullu
  Sisi wa Tanzania tunapenda kusema hatuna utamaduni wa kusoma na kwamba hii inaathiri uelewa wetu juu ya mabo mengi, nahii ina ukweli mkubwa ndani
  Message 1 of 1 , Mar 2, 2008
   Sisi wa Tanzania  tunapenda  kusema hatuna  utamaduni  wa  kusoma na kwamba hii  inaathiri  uelewa wetu juu ya mabo mengi, nahii ina ukweli mkubwa  ndani  yake,lakini ninani  alaumiwe, msomaji, mwandishi, muuzaji wa vitabu au mchapishaji.Baadhi ya watu hijiuliza  kwa nini Mtanzania hana  utamaduni  wa  kusoma   vitabu  na  wengine  husema  kwamba kusoma  si jadi yake.Mjukuu alizoea  kusikiliza hadithi  ya  babu, akatunza kumbu kumbu kichwani ili baadae amsimulie  mjukuu wake.Kawaida jadi ya  Mtanzania ni fasihi simulizi.


   Looking for the perfect gift? Give the gift of Flickr!
  Your message has been successfully submitted and would be delivered to recipients shortly.