NI UPI MTAZAMO WA SHERIA KWA WANANDOA KUTUMIA KONDOMU KWA KUZUIA UJAUZITO?...
9
rvarisanga
rvarisanga@...
Aug 18, 2005 6:15 am
Asalaam aleikum, Kulikuwepo na masomo ya kiarabu kwenye Tovuti hii lakini sasa haionekani. Naomba masomo hayo yarudishwe kama inawezekana. Maana mwanzo kabla...
Assalam alaikum! Swali hilo ni la muhimu sana kwa waumini wa Kiislamu wote kwa jumula.Kama mafunzo hyo kweli vinawezekana yakarudishwa , tuombe Allh awawezeshe...
Assalam alaikum! Huyu Mwinyi ameuliza swali hata na mimi ningeuliza wenye elimu ya juu ya kiislamu.Kama kuna Macheikh ambao wanaweza kutoa ufumbuzi wa swali...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kutumia kondom kwa kuzuia uja uzito inajuzu, bali kila njia ambayo ni temporary (ya muda) na si permanent inaruhusiwa. Kwa...
SWALI: Ni zipi fadhila za swala za usiku? JIBU: Zimekuja nukuu nyingi katika Qur-ani Tukufu na Sunah zikitaja fadhila/ubora wa swala za usiku. Katika jumla ya...
Asalamu alaykum Ndugu yangu naomba nikujibu swali lako hata hivyo nimechlewa sana lakini utanisamehe. Kuhusu mipira hakuna uthibitisho juu ya kuzuiya kikweli...
SWALI: Siwezi kukutana na niwapendao katika maisha ya ulimwengu huu, basi je ninaweza kukutana nao akhera? JIBU: Kwa yakini mtu atakuwa pamoja na ampendaye....
Assalam alaikum! Asdante sana kwa jibu mnazotupa na ninadhani ni lazima tufanikiwe huku ulimwenguni na hapo akhera.Swali langu linahusu hizi madawa za kuzuia...
SWALI: Je, ni kweli kuwa mwanamke aliye toa mimba haruhusiwi kuswali ila baada ya siku arobaini kama ilivyo kwa aliye katika nifasi? Na je, katika hali hiyo...
Swali: Ikiwa mimi ni mwanamke na nikapata hedhi ambayo si damu hasa yaani inakuwa na rangi ya kahawia kidogo, hasa siku ya kwanza na ikatoka kidogo tu na...
Assalaam Alaykum! Lifuatalo ndilo jibu la swali lako kwa kiwango chetu cha elimu na taufiq yake Taala: "Damu ya hedhi kisheria utokaji wake una mida mitatu:...
Mimi nina swali kuhusu kujitandia kichwani kwa wanawake kwani siku hizi kuna watu wanapuuzia swali hilo. Hivi ni haramu kutojitandia, na kama ni Haramu hivi...
Assalamu alaikum kuhusu kujitanda kutokana na mapokezi kutoka kwa Mtume SAW amelaaniwa mwanamke mwenye kuvaa nusu uchi yaani hata huyo asiejitanda kwa maana...
Ndugu Zangu, Assalam alaikum! Mimi ni muislam na familia yangu yote sio waislamu.Na hapo namanisha wazazi, kaka zangu na dada zangu.Na hivi karibuni Mama Mzazi...
Waaleykum salam Kwanza pole sana kwa msiba huo mzito wa kutokwa na kiungo muhimu mama. Ndugu yangu kwavile mama yako mzazi hakuwa muislam basi huna nafasi...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kwanza hakuna dhambi kwa kutomzika mama yako hasa kwamba ulikuwa mbali na ilikuwa nje ya uwezo wake, ungepata dhambi kama tu...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Ndugu Waislamu, Ramadhani imetukabili kwa kila kheri, ikitupa ishara tuache maasi na tujikurubishe kwa Mwenyezi Mungu, na pia...
NAOMBA UFAFANUZI WA SWALA LA UVAAJI WA NIKABU KWANI MTUME ALIAMRISHWA KUWA AWAAMBIE WAKEZE NA WANAWAKE WOTE WATEREMSHE SHUNGI ZAO HADI KIFUANI SASA HILI...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Nikabu lina tofauti baina ya wanazuoni, kuna wanaoona ni Lazima, na kuna wanaoona si lazima. Kwani Mwenyezi Mungu anasema...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kupiga mswaki inaruhusiwa kabla ya wakati wa adhuhuri kwenye swaumu. Sababu ya kukataza kutumia dawa, ni kwamba hizi dawa zina...
Asalam Aleykhum, Hivi ni upi ukweli kuhusu swala ya tarawehe, wengine wanasema ukianza kuiswali basi hutakiwi kuacha wala kupumzika, mfano ukaswali leo kesho...
Walaikum Salaam! Ni kweli hata na mimi nilikua na swali hilo hilo.Ila wengi ndio wanasema kwamba kuswali taraweh nisunna na waweza kuswali leo kesho...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Swala ya taraweh ni sunna na inaswaliwa mwezi wa Ramadhani peke yake, Unaweza kuswali leo na kesho usiiswali kwani ni sunna,...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kwa hakika wakati wa masahaba, waliokuwa Makkah walikuwa wakitufu baina ya swala, na watu wa madina wakawa wanaongeza urefu wa...
SALAM ALEYKUM NDUGU KATIKA IMANI NAOMBA UFAFANUZI WA SWALA LA KUMKATIZA SWALA MUUMINI MWENZAKO ANAYE SWALI KWANI NIMEONA KATIKA MSIKITI WA MTUME MADINA KWA...