Assalam alleikum, Mimi naishi peke yangu baada kuachana na mke wangu ambaye nilikuwa kwenye ndoa naye kwa miaka 20. Huyu mama alibadilisha dini na kuwa ...
kewos1
kewos1@...
Feb 1, 2006 9:56 am
66
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Pole sana kwa msiba ulioupata. Pengine ingekuwa vizuri sababu ya kuachana, na pia kujua ulimwacha talaka ngapi. Kuhusu suala la...
... kubwa za kuachana na huyu bibie kwa kweli mimi sizijui, ila tu siku ya siku aliniomba nimuache na nilipomuuliza sababu basi nilipewa sababu toka hata...
kewos1
kewos1@...
Feb 5, 2006 3:12 pm
68
Last Update : 6th Muharram 1427, 5th February 2006 Makala Uislamu-Utangulizi <http://www.uislamu.org/utangulizi.htm>...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Ndugu Waislamu, Ramadhani imetukabili kwa kila kheri, ikitupa ishara tuache maasi na tujikurubishe kwa Mwenyezi Mungu, na pia...
Kwajina la Mwenyeezimungu Mwenye Kuneemesha Neema Kubwa kubwa na Mwenye kuneemesha Neema ndogo ndogo. WAALLAYKUM SALAM WARAHMATULLAH WABARAKATU Ndugu Uislam -...
Waaleykumus-salaam warahamatullah, Shukurani za dhati kwa Allah, kwa kutuwezesha kufika kumi la pili la Ramadhani, na kuwa na mtandao wetu wa habari na...
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Website hii ya uislamu.org si kazi ya mtu mmoja wala si sawa kuinasibisha kwa mtu, watu wamejitolea kwa hali na mali...
Note: forwarded message attached. ... Check out the New Yahoo! Mail - Fire up a more powerful email and get things done faster. Note: forwarded message...
Note: forwarded message attached. ... Access over 1 million songs - Yahoo! Music Unlimited. Note: forwarded message attached. Access over 1 million songs -...
Asalam Aleikum, Nashukuru kwa kupata fursa hii ya kujiunga na wenzangu katika ukumbi huu adhim na nawaomba wale wanaowatukana Masahaba waondeshe imani hii...
wa aleikumu salamu nashukuru sana kwa ujumbe huu mlinifikishia mjawamungu <mjawamungu@...> a écrit : Asalam Aleikum, Nashukuru kwa kupata fursa hii ya...