Skip to search.
uislamu

Group Information

  • Members: 64
  • Category: Islam
  • Founded: May 16, 2005
  • Language: English
? Already a member? Sign in to Yahoo!

Yahoo! Groups Tips

Did you know...
Message search is now enhanced, find messages faster. Take it for a spin.

Messages

  Messages Help
Advanced
Messages 1 - 31 of 173   Oldest  |  < Older  |  Newer >  |  Newest
Messages: Simplify | Expand   (Group by Topic) Author Sort by Date ^
1 uislamu Offline Send Email May 17, 2005
10:09 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Ndugu Wasomaji, Website yetu ya www.uislamu.org ilianzishwa Mwezi November mwaka 2000. Al-hamdu lillah hadi leo hii tunaendelea...
2 uislamu Offline Send Email May 19, 2005
8:49 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kuna mila nyingi sana ambazo tunazo nchini kwetu ambazo huenda kinyume na Uislamu. Tumejaribu kueleza baadhi kwenye website ya ...
3 uislamu Offline Send Email May 20, 2005
7:48 am
SWALI: Tunaamini kuwa kuna kuulizwa kaburini, je wakati huo mtu hurudishiwa roho yake au huwaje? JIBU: Imamu Ahmad-Allah amrehemu-ametaja kutoka kwa...
4 uislamu Offline Send Email May 27, 2005
12:22 pm
SWALI: Nini busara na maana ya kiimani ya "Udhuhia" – (wanyama wa muhanga wachinjwao mwezi 10 Dhul-Hijah)? JIBU: Zayd Ibn Al-Arqam-Allah amuwiye...
5 uislamu Offline Send Email May 30, 2005
6:37 am
SWALI: Je, mtu kuhisi dhiki na tafrani ndani ya moyo kwa mtu aliye msababishia maudhi ni haramu au hilo ni suala la maumbile? JIBU: Allah Taala anasema: "ALLAH...
6 uislamu Offline Send Email Jun 14, 2005
8:01 am
SWALI: Nini hukumu ya swala ya Tasbeeh na huswaliwaje? JIBU: Imamu Abu Hamid Al-Ghazaaliy-Allah amrehemu-ametaja katika kitabu chake (IHYAAU ULUUMID-DIYN"...
7 uislamu Offline Send Email Jun 21, 2005
5:56 am
SWALI: Nini hukumu ya sheria katika swala za usiku? JIBU: Swala ya usiku ndio ile ijulikanyo na wengi kwa jina la "TAHAJJUD" na hukumu ya swala hii ni SUNAH....
8 abubakarimwinyi
abubakarimwinyi@... Send Email
Aug 18, 2005
6:15 am
NI UPI MTAZAMO WA SHERIA KWA WANANDOA KUTUMIA KONDOMU KWA KUZUIA UJAUZITO?...
9 rvarisanga
rvarisanga@... Send Email
Aug 18, 2005
6:15 am
Asalaam aleikum, Kulikuwepo na masomo ya kiarabu kwenye Tovuti hii lakini sasa haionekani. Naomba masomo hayo yarudishwe kama inawezekana. Maana mwanzo kabla...
10 RAJABU RASHID NMOBAH
mobah1980 Offline Send Email
Aug 18, 2005
8:29 am
Assalam alaikum! Swali hilo ni la muhimu sana kwa waumini wa Kiislamu wote kwa jumula.Kama mafunzo hyo kweli vinawezekana yakarudishwa , tuombe Allh awawezeshe...
11 RAJABU RASHID NMOBAH
mobah1980 Offline Send Email
Aug 18, 2005
8:40 am
Assalam alaikum! Huyu Mwinyi ameuliza swali hata na mimi ningeuliza wenye elimu ya juu ya kiislamu.Kama kuna Macheikh ambao wanaweza kutoa ufumbuzi wa swali...
12 uislamu Offline Send Email Aug 18, 2005
8:49 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kutumia kondom kwa kuzuia uja uzito inajuzu, bali kila njia ambayo ni temporary (ya muda) na si permanent inaruhusiwa. Kwa...
13 uislamu Offline Send Email Aug 19, 2005
6:22 am
SWALI: Ni zipi fadhila za swala za usiku? JIBU: Zimekuja nukuu nyingi katika Qur-ani Tukufu na Sunah zikitaja fadhila/ubora wa swala za usiku. Katika jumla ya...
14 AMOUR MASOUD AL-MAZRUI
aalmazrui Offline Send Email
Aug 23, 2005
5:32 am
Asalamu alaykum Ndugu yangu naomba nikujibu swali lako hata hivyo nimechlewa sana lakini utanisamehe. Kuhusu mipira hakuna uthibitisho juu ya kuzuiya kikweli...
15 uislamu Offline Send Email Aug 23, 2005
7:36 am
SWALI: Siwezi kukutana na niwapendao katika maisha ya ulimwengu huu, basi je ninaweza kukutana nao akhera? JIBU: Kwa yakini mtu atakuwa pamoja na ampendaye....
16 RAJABU RASHID NMOBAH
mobah1980 Offline Send Email
Aug 24, 2005
5:24 am
Assalam alaikum! Asdante sana kwa jibu mnazotupa na ninadhani ni lazima tufanikiwe huku ulimwenguni na hapo akhera.Swali langu linahusu hizi madawa za kuzuia...
17 uislamu Offline Send Email Aug 24, 2005
7:51 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kuhusu masuala ya kuzuia mimba tafadhali angalieni makala yafuatayo kwenye website ya uislamu : ...
18 uislamu Offline Send Email Sep 9, 2005
8:44 am
SWALI: Je, ni kweli kuwa mwanamke aliye toa mimba haruhusiwi kuswali ila baada ya siku arobaini kama ilivyo kwa aliye katika nifasi? Na je, katika hali hiyo...
19 Jasmin Awadh
jasminawadh Offline Send Email
Sep 9, 2005
11:11 am
Swali: Ikiwa mimi ni mwanamke na nikapata hedhi ambayo si damu hasa yaani inakuwa na rangi ya kahawia kidogo, hasa siku ya kwanza na ikatoka kidogo tu na...
20 uislamu Offline Send Email Sep 21, 2005
8:37 am
Assalaam Alaykum! Lifuatalo ndilo jibu la swali lako kwa kiwango chetu cha elimu na taufiq yake Taala: "Damu ya hedhi kisheria utokaji wake una mida mitatu:...
21 RAJABU RASHID NMOBAH
mobah1980 Offline Send Email
Sep 22, 2005
6:54 am
Mimi nina swali kuhusu kujitandia kichwani kwa wanawake kwani siku hizi kuna watu wanapuuzia swali hilo. Hivi ni haramu kutojitandia, na kama ni Haramu hivi...
22 AMOUR MASOUD AL-MAZRUI
aalmazrui Offline Send Email
Sep 22, 2005
8:18 am
Assalamu alaikum kuhusu kujitanda kutokana na mapokezi kutoka kwa Mtume SAW amelaaniwa mwanamke mwenye kuvaa nusu uchi yaani hata huyo asiejitanda kwa maana...
23 RAJABU RASHID NMOBAH
mobah1980 Offline Send Email
Sep 23, 2005
7:03 am
Ndugu Zangu, Assalam alaikum! Mimi ni muislam na familia yangu yote sio waislamu.Na hapo namanisha wazazi, kaka zangu na dada zangu.Na hivi karibuni Mama Mzazi...
24 AMOUR MASOUD AL-MAZRUI
aalmazrui Offline Send Email
Sep 26, 2005
5:59 am
Waaleykum salam Kwanza pole sana kwa msiba huo mzito wa kutokwa na kiungo muhimu mama. Ndugu yangu kwavile mama yako mzazi hakuwa muislam basi huna nafasi...
25 uislamu Offline Send Email Sep 26, 2005
7:20 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kwanza hakuna dhambi kwa kutomzika mama yako hasa kwamba ulikuwa mbali na ilikuwa nje ya uwezo wake, ungepata dhambi kama tu...
27 sameja Offline Send Email Oct 4, 2005
1:40 pm
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Ndugu Waislamu, Ramadhani imetukabili kwa kila kheri, ikitupa ishara tuache maasi na tujikurubishe kwa Mwenyezi Mungu, na pia...
28 sembuli_ali Offline Send Email Oct 7, 2005
8:15 am
NAOMBA UFAFANUZI WA SWALA LA UVAAJI WA NIKABU KWANI MTUME ALIAMRISHWA KUWA AWAAMBIE WAKEZE NA WANAWAKE WOTE WATEREMSHE SHUNGI ZAO HADI KIFUANI SASA HILI...
29 sembuli_ali Offline Send Email Oct 9, 2005
8:16 am
NAOMBA UFAFANUZI JUU YA SWALA LA KUPIGA MSWAKI NA DAWA YA MENO WAKATI WA SWAUMU...
30 uislamu Offline Send Email Oct 9, 2005
9:01 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Nikabu lina tofauti baina ya wanazuoni, kuna wanaoona ni Lazima, na kuna wanaoona si lazima. Kwani Mwenyezi Mungu anasema...
31 uislamu Offline Send Email Oct 9, 2005
9:03 am
Assalaam Aleykum Warahmatullah, Kupiga mswaki inaruhusiwa kabla ya wakati wa adhuhuri kwenye swaumu. Sababu ya kukataza kutumia dawa, ni kwamba hizi dawa zina...
Messages 1 - 31 of 173   Oldest  |  < Older  |  Newer >  |  Newest
Add to My Yahoo!      XML What's This?

Copyright © 2010 Yahoo! Inc. All rights reserved.
Privacy Policy - Terms of Service - Guidelines NEW - Help