Imaam Maalik (rahima-hullah) amesema:
" Yeyote anaeanzisha katika Uislamu jambo la uzushi, na akalidhania kuwa ni zuri, basi huyo amedai yakwamba Mtume Muhammad (SallahAllaahu alayhi wasallaam) amefanya khiyana katika (amana ya kuufikiliza) ujumbe..."