Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu asalaam alaykum Kaka zangu na Dada zangu Jifunzeuislamu ni kikundi ambacho kinajumuisha pamoja makundi tofauti yalio waisalamu na yasiyo waislamu.
kwa kujiunga kwako na kuwa tayari kututumia hadhti , riwaya na aya za Qurani au biblia ama kutoa ushauri ili kuwa pamoja .Tushirikiane sasa ,Tuungane sasa na tuanze sasa kutafuta ukweli tafadhali kuwa mwepesi kwa kutuandikia jifunzeuislamu@yahoo.ca
* IN ENGLISH*
In the Name of Allah, The Most Gracious, The Most Merciful Assalamualaikum wa Rahmatullahi wa Barakaatuh Respected Bro.s &Sis.s Jifunzeuislamu is solely to bring together both groups. Both Muslims and non Muslims .
Please join this group to get ready for contribute your articles on Ahaadith, Riwaayaat and Holy qur'an comments and work together. Let us have big heart, Let us work together to know the trueth
Please feel free to email Us at jifunzeuislamu@yahoo.ca
Assalaam Alaykum MWENYEZI MUNGU KUWAAPUUZA WAJA WAGOMBANAO SIKU YA KIAMA NA KUFANYIWA HISABU ZAO. Hakika Mwenyezi Mungu Amesajili kwenye kitabu chake (Qur-aan
Assalaam Alaykum KANUNI YA SITA: KUBADILISHWA MABAYA ( MADHAMBI ) KUWA MEMA (THAWABU ) Kwa hakika Mwenyezi Mungu Aliyetukuka kwa Ukarimu wake na Neema zake
Huu ni munaqasha wa suala la mwezi ambalo tuliwahi kulizungumzia katika mwezi wa Shaabani. Kwa sasa tayari nimelitoa kitabu nacho ndio hiki katika attach. Kama
Assalaam Alaykum KANUNI YA TANO: KUONGEZEWA MEMA (THAWABU ) WALE WENYE AHLUL IYMAAN. Kuongezewa mema (Thawabu) watu wa Tawheed na Ahlul iymaan ..... Hiyo